Sehemu ya wazee wa Mkoa Dar es Salaam wakishangilia kuunga mkono kufukuzwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maenedeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka jana. Picha na Venance Nestory .
Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow imepokewa kwa
*Nyaraka hii imechomolewa kwa
siri toka Chadema makao makuu RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z.
KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.
UTANGULIZI:
Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa
shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka
maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa
ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka.
Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake
yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama
wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa
mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya
nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO
KABWE.
Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake. Kufuatilia mawasiliano yake ya simu. Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe. Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za
kibunge.
SEHEMU YA
KWANZA 2008
Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa
siri katika nyendo zote za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya
Zitto na viongozi serikalini, nahata vile vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya
chama cha mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama
cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya chama na Taifa kwa
ujumla:
Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46
asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550
alipokea simu kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye ni
afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi sasa. Alijitambulisha kuwa
yeye ni Usalama wa Taifa ametumwa na mkuu wake wa kazi aje aongee na Zitto,
Maelezo ya msingi katika simu hii ilikuwa ni bwana Ramadhani Ighondu kuomba
miadi ya kuonana kutokana na agizo la mkuu wake wa kazi.
Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe
23/6/2008 saa 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu
akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo
jioni waonane, ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali,
Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto
akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff
Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto
alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia
marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko elekezwa…..
Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff
Hotel mita kama tatu tu kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu
(VIP), chumba namba 8 ndicho Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia,
chumba hiki kina meza moja na sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo
wakukaliwa na watu watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na
watu watatu ambao ni Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja (hawa
wote ni TISS)
Pamoja na ulinzi wa hali ya juu
ardhini, ndege za kivita zitatawala anga ya Tanzania kwa saa 24 kwa siku zote
atakazokaa.
Dar es Salaam. Idara ya
Ujasusi ya Marekani imeweka bayana kwamba inajitegemea kwa ulinzi katika ziara
nzima ya Rais Barack Obama kwa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, Afrika Kusini
na Senegal.
Hadithi Hadithi, Hadithi njoo, uwongo njoo, utamu kolea.
Hapo zamani za kale palikuwa na Fisi
aitwaye Masika. Masika alikuwa ni Fisi
mvivu sana asiyependa
kufanya kazi ya aina yoyote, alipenda tu kulala muda wote. Tangia enzi zake
alivyokuwa anasoma shule,
hakupenda kukaa darasani na kumsikiliza
mwalimu. Aliwaza tu kurudi nyumbani na
kulala kitandani
kwake. Masika alikuwa ni mvivu kiasi
kwamba mara nyingine mwalimu wake
akifundisha darasani,
Masika alikuwa akisinzia. Mwalimu akimuuliza
kwanini anafanya hivyo alilia kwa sauti
ya unyonge!
“Uuuwiii, uuuwiii, nimechoka, uuuuuwiii.” Afikapo tu nyumbani alijivuta mpaka
kitandani na kulala huku
akikoroma. Wazazi wake walikuwa wakimtuma kutafuta kuni kwa ajili ya kupikia
lakini Masika hakuweza
kufanya hivyo kwa ajili ya uvivu wake, Masika alipenda sana kucheza tu na
baadae akichoka analala bila
hata ya kuoga.